BEI ZA MAZAO MSIMU ULIOPITA: KOROSHO 2,500 1,900   |   MBAAZI 1,000 1,500   |   UFUTA 3,500 2,500 BEI ZA MAZAO MSIMU ULIOPITA: KOROSHO 2,500 1,900   |   MBAAZI 1,000 1,500   |   UFUTA 3,500 2,500

Sasisho Mpya

Habari & Matukio

Soma habari na matukio muhimu kutoka TAMCU LTD.

23 Aprili, 2026 Mkutano

Mkutano Mkuu wa 23 wa Mwaka 2026/2027

Umefanyika leo tarehe 23 Mwezi April ikiwa ni sehemu ya majukumu ya uongozi wa chama kwa mwaka huu. Wanachama walijadili masuala mbalimbali ya maendeleo.

Soma Zaidi
15 Aprili, 2026 Masoko

Bei za Korosho Zinaendelea Kupanda Soko la Dunia

Ripoti mpya kutoka Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) inaonyesha kuwa bei za korosho zimeongezeka kwa asilimia 15 toka mwaka jana.

Soma Zaidi
10 Aprili, 2026 Uanachama

Wanachama Wapya 7 Wajiunga na TAMCU

Vyama vya ushirika vya msingi 7 kutoka wilaya za jirani vimejiunga rasmi na TAMCU LTD kuimarisha ushirika wa kilimo.

Soma Zaidi
5 Aprili, 2026 Mafunzo

Mafunzo ya Kilimo bora ya Korosho Yafanyika

Mafunzo ya siku 3 yamefanyika kwa wakulima wa korosho kuhusu kilimo bora, uvunaji na uhifadhi wa korosho.

Soma Zaidi
28 Machi, 2026 Usafirishaji

Usafirishaji wa Korosho Umeanza kwa Msimu Mpya

TAMCU LTD imeanza rasmi usafirishaji wa korosho za msimu wa 2026/2027 kwenda viwanda vya usindikaji.

Soma Zaidi
20 Machi, 2026 Ushirika

TAMCU Yapata Tuzo ya Ushirika Bora wa Mwaka

Chama Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Ruvuma kimetoa tuzo ya ushirika bora wa mwaka 2025 kwa TAMCU LTD.

Soma Zaidi